Mpango wa kusoma Biblia kila siku kupitia Bible.com
Web Edtior Soma Biblia
Je, unajua kwamba mpango wetu wa kusoma Biblia kila siku inapatikana kupitia Bible App?
Read MoreUse the form on the right to contact us.
Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.
Main office:
P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania
Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167
E-mail: manager.somabiblia@gmail.com
Publishing department
Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania
Phone: + 255 787392951
123 Street Avenue, City Town, 99999
(123) 555-6789
email@address.com
You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.
Je, unajua kwamba mpango wetu wa kusoma Biblia kila siku inapatikana kupitia Bible App?
Read MoreKaribu usome gazeti hili linalofafanua kuhusu safari yetu ya kwenda mbinguni. Linauzwa katika Maduka yote ya Soma Biblia na kwa dereva wetu wa mauzo anayezunguka na gari la kuuza vitabu na Biblia. Ni bei poa kabisa
Read MoreKatika toleo hili la RIZIKI tunachunguza kama Ukristo ni imani au utamaduni. Nia ni kukumbushana kuwa, mapokeo ya dini yanaweza kuwa mazoea au taratibu tupu zisizo na faida. Kama mwandishi mmoja alivyoandika, ndivyo taratibu zilivyo kama misingi yake haikujengwa katika Kristo. Lakini vilevile tamaduni na mapokeo zitafaa, tena zitakuwa na faida, kama zinatuelekeza kumwamini Yesu na kufanya mapenzi yake. Karibu usome toleo hili
Read MoreSoma Biblia kila siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
Read MoreGazeti hili maalum kwa watoto na vijana linazungumzia maana ya Amani kwa Wakristo. Amani ni usalama, raha moyoni na raha ya kutenda. Ni toleo la 4 kwa mwaka 2018 na lipo madukani Soma Biblia. Karibu umnunulie mtoto zawadi hii idumuyo na yenye kubeba mafundisho ya Neno la Mungu.
Read MoreKatika toleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya tatu ya Imani ya Mitume inayoanza kwa kusema, Namwamini Roho Mtakatifu. Tunaamini yaliyomo katika toleo hili yataimarisha imani yako katika kumwamini Roho Mtakatifu.
Ukalifa au Mauti ni kitabu kinachosimulia habari za kuteswa kwa Wakristo wa Nigeria. Ni toleo jipya kabisa la kiswahili. Karibu kupata nakala yako katika maduka ya soma biblia hapa Tanzania.
Read MoreNi furaha yetu kuona jinsi Kanisa linavyoweka siku kuu ya pekee kwa ajili ya watoto. Soma Biblia tunapenda kushiriki katika kazi ya kuwajenga watoto katika imani ya Kikristo kwa njia ya vitabu, Biblia na majarida kwa ajili ya watoto. Kwa hiyo tunatoa ofa maalum kwa sharika zote zinazopenda kuwapa watoto wao zawadi kwaajili ya siku kuu ya watoto.
Read MoreMpendwa msomaji wa Twende, uvumilivu ni tunda la Roho tunayepewa tunapomwamini Yesu. Biblia inatufundisha uvumilivu kupitia watu mbalimbali. Toleo hili limefafanua zaidi maana ya uvumilivu kwetu sisi Wakristo. Jipatie nakala yako kutoka Soma Biblia.
Read MoreToleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya pili ya Imani ya Mitume; Namwamini Yesu Kristo. Tunakumbushana kwa kutafakari maana ya maneno haya. Tunapokiri kwamba namwamini yesu, ina maana maisha yetu yamejengeka ndani ya msingi ambao ni Yesu Kristo.
Read MoreMwaka huu wafanyakazi wa Soma Biblia tulipata nafasi ya kukutana kwa pamoja katika kituo cha Mikutano cha Amabilis, mjini Morogoro kuanzia tarehe 23 hadi 27 Mei 2018. Wafanyakazi wa vituo vya Soma Biblia toka Arusha, Dar es salaam, Iringa, Mbeya na Mwanza walihudhuria semina hiyo. Pia tulikuwa na waendesha mada mbalimbali toka Chama cha Biblia Tanzania, na Mchg Oswald Ndelwa kutoka Iringa, ambaye aliendesha somo la Biblia kwa siku mbili.
Read MoreToleo jipya la Tumwabudu Mungu Wetu linapatikana sasa.
Read MoreJe, nini itatokea kwa imani yetu, ikiwa kila kizazi huibadilisha tu kulingarna na mawazo, mahitaji na mipango yake? Katika RIZIKI toleo la kwanza 2018, tutaangelia zaidi maneno muhimu kuhusu Imani yetu ya Kikristo.
Read MoreMsaada wa kugundua hazina katika Neno la Mungu. Karibu kuidownload hapa.
Read MoreSoma Biblia hushiriki katika wito wa kuwaletea vijana habari njema ya Biblia kuhusu Yesu Kristo ili wamwamini na kumfuata. Kwa hiyo tunawakaribisha wote wenye vipawa vya uandishi waandike kitabu kwa vijana wenye umri wa miaka 13-19.
Read MoreMimi na wewe tunaweza kuwa na maswali mengi yanayosumbua imani yetu kututilia wasiwasi mwingi wa kiroho.
Read MoreSIKU YA MIKAELI NA WATOTO INAKARIBIA. Soma Biblia inapenda kufanya kazi ya kuhubiri Injili kwa watoto bega kwa bega na Kanisa. Kwa hiyo tunatoa ofa maalum kwa sharika zote zinazopenda kuwapa watoto wao zawadi kwa ajili ya siku kuu ya watoto.
Read MoreMiezi iliyopita tumekuwa busy sana hapa Soma Biblia. Tumechapa matoleo jipya ya Twende na RIZIKI, tumefanya semina ya wafanyakazi wote, na kitabu kipya kimetolewa. Karibu kusoma zaidi!
Read MoreYesu ni Fidia - kwa tafsiri rahisi neno fidia lina maana ya gharama ambayo inatolewa kwa ajili ya kufanya ukombozi. Yesu amelipa gharama yote kwa ajili yetu wanadamu. Hii ina maana gani hasa kwetu?
Read MoreLeo tumekuletea kitabu "DINI NA MAISHA", karibu kutazama.
Read More