ORODHA YA VITABU VYOTE NA BEI
Orodha ya vitabu inayopatikana hapo juu ni ya vitabu vinavyotolewa na Soma Biblia tu. Kupata orodha ya vitabu vya wachapishaji wengine vinavyouzwa dukani Soma Biblia bonyeza link hapo juu.
Tunawashauri wote kuwasiliana na duka letu la vitabu ili kuhakikisha kuwa vitabu vinapatikana kwa sasa. Tunapatikana: Dar es Salaam , Iringa , Mwanza , Mbeya , Dodoma , Arusha
Kupokea orodha yote ya vitabu na bei, bofya hapa.
Ukiwa katika simu yako fungua orodha ya vitabu na bonyeza nukta tatu juu kulia kisha bonyeza Find in page ili kutafuta kitabu kwa haraka zaidi. (Ukiwa katika orodha ya vitabu unaweza kubonyeza cmd + F au ctrl + F kufungua search na utaweza kutafuta kitabu unachotaka kwa haraka zaidi).