Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167

E-mail: manager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishingmanager.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

TWENDE TOLEO LA 4/2022 'Linapatikana'

Habari kutoka Soma Biblia

TWENDE TOLEO LA 4/2022 'Linapatikana'

Cathbert Msemo

Bwana Yesu Asifiwe!

Karibu kununua Twende katika maduka ya Soma Biblia.

Katika toleo hili tutajifunza juu ya Likizo na mapumziko.

Umewahi kuwaza ni kwa nini kila baada ya kipindi fulani tunapewa likizo shuleni? Au umewahi kufanya kazi moja kwa muda mrefu? Mwili wako uliendelea kuwa na nguvu au ulisikia kuchoka? Bila shaka ulitamani kuacha na kufanya kitu kingine au kutulia na kupumzika. Ni hali yetu kama wanadamu.

Vipi na Yesu, anatuambia nini kuhusu kupumzika? Anasema, "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha" (Mathayo 11:28). Looh! kumbe Yesu anatuita kwake kupumzika? Hii ni neema kubwa, sivyo! Tukimwamini Yesu anaweza kutupumzisha kutoka katika hali ya changamoto, magonjwa na dhambi na kadhalika.

Kupitia makala zote katika toleo hili utajifunza zaidi juu ya mambo hayo. Katika makala ya Sala kwa mfano, utaona jinsi Yesu alivyowaita wanafunzi wake kupumzika bada ya kazi kubwa na nzuri waliyoifanya ya kuwahubiria watu habari njema za wokovu. Habari ya Mariamu na Martha na yaliyotokea Yesu alipowatembelea nyumbani imesimuliwa vizuri katika makala ya Simulizi.

Kama kawaida kuna kibonzo kizuri. Angalia katika uk.5 unavyoweza kupata zawadi kama ukijibu maswali vizuri! Pia Kaka Kalamu anakukumbusha atakujibu kama ukimwandikia swali lako. Karibu tusome!