TWENDE Toleo la Tatu
Anne Gihlemoen
Toleo hili la TWENDE No. 3 mwaka 2016 limebeba habari njema juu ya ”Mwokozi wa ulimwengu”. Ni mafundisho mazuri kwa watoto na vijana kuweza kumjua Yesu Kristo aliye mwokozi pekee katika maisha yetu. Kuna picha nzuri za kuvutia, michoro, katuni-Tunu na Tuzo, simulizi tamu kutoka kwenye Biblia na nyimbo, vyote vikifafanua alivyo Mwokozi wa ulimwengu.
Gazeti linapatikana katika maduka yetu yote; Soma Biblia Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na Iringa.