Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167

E-mail: manager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishingmanager.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Logo_WWI_lamp.jpg

Wanawake wa Imani

Sisi wanawake hupenda kuongea na kujadili mambo yanayotuhusu hata yale ya ndani zaidi, kama yale hisia, tamaa, matakwa na hofu zetu. Na jambo jema zaidi ni uhusiano wetu na Mungu. Kupitia kipindi hiki cha Wanawake wa Imani, utasikia mazungumzo yanayo kusudia mambo hayo. Kipindi chetu, kitahitaji utulivu zaidi, ili Mungu apate kuongea nasi kwa maana ndivyo anavyotaka kweli. Tunaposikiliza asemavyo katika Neno lake, Biblia, tunapata kujifahamu vizuri zaidi, na kujua mapenzi yake kwenye maisha yetu ya kila siku. Hivyo tunakuwa Wanawake wa Imani.

Filtering by Tag: mwanamke

Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu

Anne Gihlemoen

Mwanamke tutakayemkuta leo alikuwa anatafuta upendo, uhuru na amani kama tulivyoongea kipindi kingine, sisi wote tunatafuta mambo haya juu ya mambo yote mengine. Lakini huyu mwanamke pale alipoangalia na kutafuta, hakuweza kuyapata. Labda pia wewe uko kwenye hali ya kutafuta sana upendo, uhuru na amani, lakini baado hujayapata vizuri. Labda unaangalia mahali ambapo haipo!

Read More

Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5

Anne Gihlemoen

Dorena Jakobo, "Mama Eliyah", alilelewa katika familia ya kipagani, lakini yeye na dada yake walivutwa na mambo ya kanisani. Na bila wazazi kujua, wakaenda kusali na baadaye wakabatizwa. Lakini hata kama aliokoka wakati wa utoto, Dorena alipokua, alikuja kuishi nyuma ya Neno la Mungu, na kukaa katika ndoa mbaya.

Read More