Kristo Haki Yetu
Anne Gihlemoen
“Masomo 31 ya kitabu hiki ni chakula bora na cha kiroho kwa moyo wako. Utazidi kumpenda Yesu. Kitumike kwenye sala ya binafsi au ya kifamilia.”
Mwandishi/Author: Carl O. Rosenius
Toleo la 1/First edition: 2008
Kurasa/Pages: 67
Ukubwa/Size: 11 x 15,5 cm
ISBN: 9987-639-19-4
Code: 14032
“31 devotions that is like food for your soul. You will come to love Jesus even more.”