Ndoa yenye Furaha
Cathbert Msemo
Kitabu hiki cha kiada kinawaandaa vizuri wanandoa watarajiwa kwa kuelewa na kufanyia kazi mafundisho ya ndoa wanayopewa kanisani kabla ya kufunga ndoa. Mambo yameratibiwa kwenye vipindi sita, vyote vikiwa na mazoezi kabla na baada ya mafundisho ya kichungaji kutolewa. Kitabu hiki ni msaidizi kweli kwa kila anayefundisha na kushauri kuhusu ndoa.
Mwandishi/Author:Blaston Gaville na wengine
Toleo la 1/First edition:2019
Kurasa/Pages: 112
Ukubwa/Size: 14.8 x 21 cm
ISBN: 978 9987 639 56 4
Code: 14304