Njia ya Wokovu
Anne Gihlemoen
“Njia ni nyingi, moja tu ni ya wokovu. Je, umeiona na kuienda? Kitabu hiki kinabainisha jinsi Yesu alivyo njia hiyo. Hufaa kwa ‘Bible study’.”
Mwandishi/Author: Kaj Pedersen, Arne Pedersen, Karl K. Riis
Toleo la pili/Second edition: 2010
Kurasa/Pages: 32
Ukubwa/Size: 12 x 18 cm
Code: 11015
ISBN: 978-9987-614-34-9
“The ways are many, but only one leads to salvation. This book is discussing how Jesus is that way. A book that works well for Bible study.”