Amani ya Imani
Anne Gihlemoen
“Unamwamini Yesu, lakini je, unasikia amani? Jifunza Mungu anavyoona hali yako. Kitabu kinasaidia kupata furaha na amani ya imani.”
Mwandishi/Author: Ole Hallesby
Toleo la 3/Third edition: 2004
Kurasa/Pages: 29
Ukubwa/Size: 13 x 18 cm
ISBN: 9987-614-12-4
Code: 11002
“You believe in Jesus, but do you have peace? Learn how God knows your situation. This booklet will help you find joy and peace in faith.”