17. Urithi 2
Anne Gihlemoen
Yesu anaendelea kufundisha na kufanya miujiza mikuu. Watu wengi wanamwamini na kumfuata. Ni wakati huu pia ambapo watawala walizidi kukasirika na kuamua kumkamata Yesu.
Read MoreUse the form on the right to contact us.
Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.
Main office:
P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania
Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167
E-mail: manager.somabiblia@gmail.com
Publishing department
Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania
Phone: + 255 787392951
123 Street Avenue, City Town, 99999
(123) 555-6789
email@address.com
You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.
Filtering by Tag: michezo ya redio
Yesu anaendelea kufundisha na kufanya miujiza mikuu. Watu wengi wanamwamini na kumfuata. Ni wakati huu pia ambapo watawala walizidi kukasirika na kuamua kumkamata Yesu.
Read MoreSiku zimepita baada ya Bwana Yesu kuzaliwa. Naye aliendelea kukua katika hekima na kimo akimpendeza Mungu na wanadamu. Alipita sehemu zote za Israeli akifundisha neno la Mungu na kuponya wenye magonjwa. Habari ya miujiza ya Bwana Yesu ilienea kila mahali.
Read MoreZikiliza jinsi Yusufu alikuja kugundua ukweli juu ya mtoto Mariamu alikuwa akizaa, na jinsi walipaswa kukimbilia Bethlehemu ili kuhesabiwa na utawala wa Kirumi.
Read MoreIshmaeli anazaliwa na Hajiri mjakazi wa Sarai.
Read MoreSafari ya Abramu kwenda nchi aliyoahidiwa na Mungu. Sehemu ya kwanza
Read MoreShetani hakuwapenda kabisa Adamu na Eva. Basi akaweka mpango wa kuvunja upendo wa mwanadamu kwa Mungu.
Read MoreURITHI WA ADAMU ni mfululizo wa hadithi kutoka kitabu cha Biblia Takatifu. Katika sehemu ya kwanza tukiwasimulia mwanzo wa uummbaji wa ulimwengu, mwanadamu alivyoishi katika bustani ya Eden kwa furaha ya mahusiano yake na Mungu. Mmojawapo wa Malaika wa mbinguni, Shetani, alitaka kuchukua nafasi ya Mungu. Lakini hakuweza. Akafurushwa na kutupwa duniani kutoka mbinguni pamoja na wote waliomuunga mkono.
Read More