15. Mkuu wa Amani 4
Anne Gihlemoen
Yesu akazaliwa! Sikiliza kipindi hiki kujua zaidi kuhusu wageni waajabu waliowatembelea Yusufu na Mariamu baada ya Yesu kuzaliwa.
Read MoreUse the form on the right to contact us.
Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.
Main office:
P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania
Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167
E-mail: manager.somabiblia@gmail.com
Publishing department
Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania
Phone: + 255 787392951
123 Street Avenue, City Town, 99999
(123) 555-6789
email@address.com
You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.
Filtering by Tag: Mfalme
Yesu akazaliwa! Sikiliza kipindi hiki kujua zaidi kuhusu wageni waajabu waliowatembelea Yusufu na Mariamu baada ya Yesu kuzaliwa.
Read MoreMuda wote Sauli alikuwa ndani ya Ikulu akitafakari jinsi wananchi wake walivyompokea Daudi mapokezi ambayo hata yeye tangu awe Mfalme hajawahi kupokewa hivyo...alimuangalia Daudi kwa jicho la chuki, hasira na kisasi. Daudi hakuwa amegundua chuki za mfalme Sauli juu yake. Alikuwa amesimama tu pembeni karibu na dirisha ndani ya ikulu ya Sauli akiongea na Yonathani. Mchezo huu wa Mfalme 4 unaeleza kwa undani.
Mungu alimpa Daudi roho hivyo alipaswa kuwa na vifaa kwa kushughulikia kazi kama mfalme, wakati Mfalme Sauli maarufu alikuwa na kitu kingine tofauti kabisa, wakati huo huo Daudi akipokea roho, Roho wa Mungu akamwondoka Sauli. Mfalme Sauli alishikwa na ugonjwa wa ajabu akawa kama mtu aliyechanganyikiwa au aliye na mapepo. Kitu gani kinaendelea? Kipindi hiki cha Mfalme 2 kinaelezea vizuri zaidi.
Ilikuwa ni zaidi ya miaka elfu moja baada ya Mungu kumuahidi Abrahamu kwamba atakuwa baba wa mataifa mengi na kuwa mfalme atatoka katika ukoo wake, mkombozi wa ulimwengu. Ukoo wake umekuwa watu wenye nguvu wa asili ya Kiarabu na wana wa Israeli. Wana wa Israeli hawakuwa na Mfalme ambaye ameweza kuwakusanya wao kuwa taifa moja. Mungu akawapa Sauli. Je, mambo yalikuwaje? Sikiliza kipindi hiki.