Kanisa la Kidiakonia
Anne Gihlemoen
“Kitabu kinaeleza maana ya diakonia na kuonyesha changamoto zilizopo kanisani leo. Lengo lake ni kuuwezesha usharika kuwa mjumbe wa diakonia.”
“This book gives a good introduction to the history of deacony, its challenges and it’s Biblical meaning, both practically and theoretically.”
Mwandishi/Author: Alf B. Oftestad
Toleo la kwanza/First edition: 2010
Kurasa/pages: 101
Ukubwa/size: 15 x 21 cm
ISBN: 978-9987-614-33-2
Code: 11028