Biblia mpya ya lugha mbili za kiswahili na kiingereza
Cathbert Msemo
Sasa inapatikana hapa Tanzania katika maduka yetu ya Soma Biblia, yaani Mwanza, Iringa, Mbeya, Dar es Salaam na Arusha.
Kwa nini amezama kwenye kusoma hata asiwe na nafasi ya kumwangalia mpiga picha?
Jibu ni Biblia mpya ya lunga mbili za Kiswahili na Kiingereza. Inavuta kweli
Sasa Biblia mpya ya lugha mbili inapatikana dukani Arusha, na Ebenezer anawakaribisha kwa furaha kubwa wateja wote.
Mteja akifurahia kupata nakala yake ya Biblia mpya ye NENO na NIV (Biblia ya lugha mbili)
Bonyeza Hapa kujua BEI