Maombi
Anne Gihlemoen
“Wote wamejaribu kuomba. Lakini mafumbo yapo, na kuomba vibaya pia. Kitabu hiki maarufu kimewasaidia wengi kujua baraka za maombi.”
Mwandishi/Author: Ole Hallesby
Toleo la 6/Sixth edition: 2014
Kurasa/Pages: 160
Ukubwa/Size: 12 x 17 cm
ISBN: 9987-614-27-2
Code: 11012
“This book gives an introduction to matters related to the discipline of prayer. A popular classic!”