Mia kwa Mia
Cathbert Msemo
Mwandishi wa kitabu hiki anasimulia kwa lugha rahisi habari 100 za Biblia zinazopendwa na watu wote. Kwa pamoja zinaonyesha makusudi ya Mungu kwetu wanadamu. Watoto kuanzia miaka mitano watafurahi sana kusoma kitabu hiki, kwani kimejaa habari njema za Biblia – Mia kwa Mia.
Mwandishi/Author: Michael Berghof
Toleo la 1/First edition: 2019
Kurasa/Pages: 200
Ukubwa/Size: 16 x 19 cm
ISBN: 978 9987 639 53 3
Code: 14011