VITABU VYA WATOTO/Childrens books
Anne Gihlemoen
Featured
Watoto watapenda kuongozana na Tunu na Tuzo wanapofanya utafiti katika Biblia. Mambo mengi ya kuvutia hutokea. Katuni 18 zenye rangi.
Watoto wanapenda Krismasi. Wapewe kitabu hiki kuhusu zawadi kuu ya Krismasi. Jalada na kurasa gumu. Zimo chemsha bongo 3.
Pamoja na Yesu ni mfululizo wa vitabu kwa watoto wa miaka 7-14, ambavyo vinafundisha Injili ya Biblia kwa namna rahisi.
"Ujumbe wa Mungu kwa watu wote, Biblia ya Watoto" ni Biblia bora kwa watoto wa miaka 8 na kuendelea, pamoja na simulizi nzuri na picha za rangi. Inapatikana kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.